November 9, 2013


Kikosi cha timu ya wanawake ya Tanzania, Tanzanite kimeinyonyoa Msumbiji kwa mabao 5-1 nyumbani kwao Maputo.


Katika mechi hiyo kuwania kucheza Kombe la Dunia, Tanzanite walitawala mwanzo hadi mwisho na wangeweza kushinda mabao mengi zaidi.

Katika mechi ya awali jijini Dar, Wadada  hao wa Kitanzania walishinda kwa mabao 10-0.


Sasa wanasubiri mshindi kati ya Afrika Kusini na Botswana na wakishinda wamefuzu kucheza Kombe la Dunia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic