November 10, 2013


Denis Oliech amekuwa mchezaji wa kwanza wa kutoka nje ya Kenya ambaye ametua jijini hapa kwa ajili ya kujiunga na timu ya taifa.


Timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars Novemba 14 inatarajia kukipiga na Oman katika mechi ya kirafiki itakayochezwa jijini Muscat, Oman.

kocha Mkuu wa Harambee Stars, Adel Amrouche amesema amazungumza na mshambuliaji huyo na tayari yuko jijini hapa.

Oliech ni kati ya wachezaji walioitwa na Kocha Adel Amrouche lakini haikuwa kawaida yake kuwahi.

Mshambuliaji huyo anayekipiga nchini Ufaransa, ametua jijini hapa na tayari amekuwa gumzo kutokana na kurejea kwake.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic