November 8, 2013



Mechi ya Azam na Mbeya City iliyochezwa Azam Complex yenyewe imeingiza sh. 15,973,000 kwa watazamaji 4,857 na kila klabu imepata sh. 3,953,162.


Hiyo ni rekodi katika uwanja huo unaomilikiwa na Azam FC, timu pekee yenye uwanja mzuri nchini.
Mechi hiyo ilimalizika kwa sare ya mabao 3-3 na Mbeya City ikabaki katika nafasi ya tatu na Azam ya pili.
Yanga iliyoibuka na ushindi kwenye Uwanja wa Taifa, moja kwa moja ikapanda hadi kwenye nafasi ya kwanza.

Mashabiki walijitokeza kwa wingi mno, hadi ikalazimika polisi kuzuia wengine wasiingie.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic