November 8, 2013



Mechi kati ya Ashanti United na Simba iliyochezwa juzi Uwanja wa Taifa imeingiza sh. 24,931,000 ambapo kila klabu ilipata mgawo wa sh. 5,333,590.


Mechi hiyo ilikuwa ni ya timu za Dar es Salaam ilionekana kutovutia watu wengi zaidi, kitu ambacho si kawaida.

Lakini taarifa za kwamba, polisi walikuwa wakiwavizia watu waliovunja viti katika mechi dhidi ya Kagera.

Hali hiyo ilisababisha watu wachache waende uwanjani siku hiyo, huku vikundi  vya ushangiliaji vya Simba, vikiingia mitini.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic