December 24, 2013


MTAWALA


Katibu Mkuu wa zamani wa Yanga, Celestine Mwesigwa ametangazwa kuchukua nafasi ya Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Angetile Osiah.
 
Wakati Mwesigwa anatangazwa kuchukua nafasi hiyo, Katibu Mkuu wa Simba, Evodius Mtawala amekabidhiwa cheo cha Mkurugenzi wa Vyama Wanachama na Masuala ya Kisheria ya TFF.
MWESIGWA

Uteuzi huoumetangazwa leo na Rais wa TFF, Jamal Malinzi ambaye amesema wataanza kazi mara moja Januari Mosi, mwakani.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic