December 24, 2013



 
LUNYAMILA AKIWA NA RAFIKI YAKE, SALEH ALLY
Ingawa amepata nafuu lakini hali ya Edibil Lunyamila bado si nzuri sana.

Leo asubuhi daktari alitoa mirija ya mashine za kupumulia na baadaye akazirudisha tena baada ya kuona analazimika kufanya hivyo.
Baadhi ya watu wameendelea kujitokeza kumjulia hali  mchambuzi huyo wa soka wa gazeti la Championi katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar.
Lunyamila, nyota wa zamani wa Yanga&Simba,Mtibwa Sugar na Taifa Stars bado hali yake si nzuri na matibabu yake pia yanahitaji fedha.
Hivyo watu wanaoweza kumsaidia wametakiwa kujitokeza na kufanya hivyo ili awe na uhakika wa matibabu.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic