Shuti kali alilopiga Rosicky katika dakika ya kwanza tu ya mchezo limeipa ushindi Arsenal wa bao 1-0 dhidi ya watani wao wa jadi Tottenham.
Katika mechi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa Whitehart Lake jijini London, licha ya kuwa ugenini Arsenal ndiyo waliotawala zaidi hasa kipindi cha kwanza.
Hata hivyo, Spurs nao walipoteza nafasi nyingi katika kipindi cha kwanza na baadaye cha pili.
Mwishoni, Arsene Wenger alitoa washambuliaji wawili na kuwaingiza mabeki na viungo akionyesha kurudhishwa na ushindi wa bao 1 alilokuwa nalo wakati huo.
Spurs: Lloris, Naughton, Kaboul, Vertonghen, Rose, Chadli (Sigurdsson 68), Sandro (Paulinho 68), Eriksen (Soldado 82), Bentaleb, Townsend, Adebayor.
Subs: Friedel, Kane, Walker, Lennon.
Booked: Chadli, Sandro, Vertonghen.
Arsenal:
Szczesny, Sagna, Mertesacker,
Koscielny, Gibbs, Rosicky (Flamini 69), Arteta, Oxlade-Chamberlain
(Vermaelen 85), Cazorla, Podolski (Monreal 77), Giroud.
Subs: Fabianski, Sanogo, Jenkinson, Gnabry.
Subs: Fabianski, Sanogo, Jenkinson, Gnabry.
Booked: Sagna, Gibbs, Flamini.
Goal: Rosicky 2.
Referee:
Mike Dean (Wirral).
0 COMMENTS:
Post a Comment