March 16, 2014



Mshambuliaji nyota wa Barcelona, Lionel Messi amefunga mabao matatu au hat trick wakati timu yake ilipoichapa Osasuna kwa mabao 7-0.
Katika mechi hiyo ya La Liga iliyochezwa leo Camp Nou, leo, Messi ndiye aliyeng'ara zaidi.

Huku akionekana kuwa na kazi zaidi, Messi ndiye alianza kutupia bao la kwanza katika dakika ya 19.
Angalia dakika za mabao na wafungaji wake

MABAO
1-0
Messi Min 19
2-0
Alexis Min 21
3-0
Iniesta Min 34
4-0
Messi Min 62
5-0
Tello Min 78
6-0
Messi Min 88
7-0
Pedro Min 90

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic