Mwanariadha mlemavu, Oscar Pistorius aliyehukumiwa miaka mitano jela,
tayari ameingia kwenye gereza kongwe la Kgosi Mampuru II Prison.
Gereza hilo liko jijini Pretoria na linajulikana kutokana na kuwa na sifa
ya kuhifadhi vijana watukutu.
Mwanariadha huyo amehukumiwa kutokana na kumuua mpenzi wake bila
kukusudia. CHEKI MAZINGIRA YALIVYO...
0 COMMENTS:
Post a Comment