October 21, 2014

Klabu ya Detroit Pistons imemtema Hasheem Thabeet.

Pistons inayoshiriki NBA, imemtema Mtanzania huyo ambaye ilimchukua kutoka Oklahoma City Thunder kwa mkataba usio gerentii.
Pamoja na Hasheem Pistons imewatema mshambuliaji Brian Cook, mlinzi Josh Bostic na Lorenzo Brown.
Tayari Pistons ina wachezaji 16 wakati ni 15 tu wanaotakiwa kwa ajili ya NBA.

Bado hazijaelezwa sababu maalum za kufanya hivyo, ingawa mitandao mingi imekuwa ikilizungumzia suala hilo la Hasheem.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic