Kiungo Lansana Kamara raia wa Sierra Leone anayewania
kuichezea Yanga ameumia mazoezini.
Kiungo huyo aliumia kifundo cha mguu katika
mazoezi ya Yanga kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar, leo.
Hali hiyo ilisababisha atolewe nje na kupatiwa
matibabu na daktari wa Yanga, Juma Sufiani akisaidiana na Jacob Onyango.
Baada ya hapo, Kamara alipumzishwa huku wenzake
wakiendelea na mazoezi.







0 COMMENTS:
Post a Comment