Yanga imeendelea na mazoezi kwenye Uwanja wa
Karume jijini Dar es Salaam kujiandaa na michuano ya Kombe la Kagame.
Chini ya Mholanzi, Mart Nooij anayesaidiwa na
Charles Boniface Mkwasa, Yanga wamejifua kwa mazoezi mepesi.
Baadaye wakauchezea mpira kwa kontroo kabla “hakijagawanywa”
na “kupigwa” kama mechi.
Yanga ndiyo imekuwa timu ya kwanza kuingia
kambini kuanza kujiandaa na msimu ujao.







0 COMMENTS:
Post a Comment