Kikosi cha Taifa Stars, kimeendelea kujifua kwa
ajili ya mechi zake za kuwania kucheza Chan.
Mechi hizo zitakuwa ni dhidi ya Uganda, ikianzia
nyumbani kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar wikiendi hii.
Chini ya Kocha wake Mholanzi, Mart Nooij, Stars
ilifanya mazoezi mepesi kabla ya kucheza full game.
0 COMMENTS:
Post a Comment