June 3, 2015


Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imetoa shukurani kwa wadau mbalimbali wa mchezo wa soka nchini.

Ofisa Habari Mkuu wa TBL, Doris Malulu ametoa shukurani hizo baada ya TBL kupokea tuzo ya mchango katika soka iliyotolewa na TFF kuonyesha inadhamini mchango wao.

Tuzo hiyo imetolewa leo kwa TBL ambao ndiyo wadhamini wakuu wa Taifa Stars.

"Tunashukuru kwa mchango mkubwa, pia ushirikiano ambao tumekuwa tukipata kutoka kwa TFF, waandishi wa habari na wadau wengine wa soka," alisema Doris.


Hii ndiyo listi ya wadhaamini waliopewa tuzo leo...

WADHAMINI
113. TBL
114. VODACOM
115. SERENGETI BREWERIES
116. NMB
117. AZAM
118. BAHATI NASIBU YA TAIFA
119. AIRTEL
120. BANK ABC
121. COCA COLA
122. NSSF
123. AZAM MEDIA
124. BARRICK GOLD MINE
125. AIR TANZANIA
126. TANZANIA RAILWAY CORPORATION
127. SYMBION
128. TANZANIA TOBACCO BOARD
129. TANZANIA COFFEE BOARD
130. TANZANIA SISAL BOARD
131. TANZANIA HARBOU AUTHORITY
132. BIMA
133. UHAMIAJI
134. BORA
135. URAFIKI
136. TACOSHILL

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic