MATOGOLO WAKATI AKIWA MBEYA CITY |
Mwadui FC imefanikiwa
kumsajili beki na kiungo mkabaji Anthony Matogolo.
Matogolo alikuwa
akikipiga katika kikosi cha Mbeya City lakini msimu uliopita alitolewa kwa
mkopo.
MATOGOLO LEO BAADA YA KUSAINI MWADUI. |
Mwadui FC imefanikiwa
kumsajili leo kwa mkataba wa mwaka mmoja.
0 COMMENTS:
Post a Comment