August 12, 2015

Kocha wa Costa Rica, Paulo Wanchope amezichapa kavukavu na mlinzi wa uwanjani huko Panama.

Wanchope ni mshambuliaji wa zamani wa Man City pia Derby County za England.

Alizichapa baada ya kuzozana na mlinzi aliyekuwa akizuia mmmoja wa vijana wasiingie eneo alilokuwa akilinda, lakini Wanchope akafungua na kumuingiza.

Hali hiyo ilimfanya mlinzi huyo kupandwa na hasira na kuanza kumshambulia Wanchope ambaye alijibu mashambulizi.

Hata hivyo Shirikisho la Soka la Costa Rica limekataa, katakata kulizungumzia suala hilo.





AKIWA MAN CITY.

AKIWA DERBY COUNTY, HAPA ANAPAMBANA NA MARC VIVIEN FOE WAKATI WA UHAI WAKE AKIWA WEST HAM. 
GAZETI NALO HALIKUWA NYUMA, LIKAUNASA MCHEZO MZIMA...

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic