BOSSOU AKIWA JUKWAANI LEO WAKATI YANGA IKIKIPIGA NA KIMONDO |
Kocha Hans van der
Pluijm amempanga Mzimbabwe, Thabani Kamusoko katika kikosi cha kwanza
kinachoanza katika mechi ya kirafiki dhidi ya Kimondo ya Mbozi.
Mholanzi huyo,
akamuweka jukwaani beki mpya wa timu hiyo Vicent Bossou raia wa Togo ili aone Yanga
inavyocheza kwenye Uwanja wa CCM Mbozi.
Yanga inacheza mechi
hiyo ya kirafiki ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya msimu ya Ligi Kuu Bara.
Kamukoso kutoka FC Platnum ya Zimbabwe, naye atakuwa anaichezea Yanga kwa mara
ya kwanza.
KIKOSI CHA LEO
Dida, Abdul,
Joshua, Zahir, Pato, Kamusokou, Msuva, Telela, Busungu, Ngoma na Kaseke.
BOSSOU |
KAMUSOKOU |
0 COMMENTS:
Post a Comment