Yanga imezidi kuongeza nguvu katika safu ya
ushambuliaji baada ya kumnasa Matheo Anthony.
Huyu ni yule mshambuliaji hatari wa KMKM ya Zanzibar
aliyeifunga Yanga kwenye Kagame Cup.
Lakini akapiga bao mbili wakati Simba ilipoifunga KMKM
kwa mabao 3-2 katika mechi ya kirafiki mjini Zanzibar.
Matheo amesaini mkataba wa miaka miwili mbele ya
Katibu Mkuu wa Yanga, Dk Jonas Tiboroha kuichezea Yanga.
0 COMMENTS:
Post a Comment