December 25, 2015

GABAR AKIANGUKA CHINI WAKATI WA MECHI YA KIRAFIKI DHIDI YA FRIENDS
Mshambuliaji Issoufou Boubacar Garba wa Yanga amesema mechi ya kirafiki dhidi ya Friends Rangers imefanya aamini Ligi Kuu Tanzania Bara haitakuwa lelemama.

Garba raia Niger amesema anaamini hivyo kwa kuwa alipata upinzani mkali kwa walinzi wa Friends Rangers ambayo iko daraja la chini hivyo ligi kuu anaamini kutakuwa na ushindani zaidi.

“Mechi ilikuwa nzuri lakini ngumu, upinzani ulikuwa juu pia. Hii inafanya niamini ligi kuu itakuwa zaidi,” alisema.


Gabar amejiunga na Yanga katika dirisha dogo la usajili na tayari ameanza mazoezi na kikosi cha Yanga na mechi dhidi ya Friends ambayo Yanga ilishinda mabao 4-2 ilikuwa ya kwanza kwake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic