January 26, 2016


Kampuni ya vifaa ya Nike imetengeneza kiatu maalum na kumkabidhi mshambuliaji nyota wa Barcelona, Neymar Jr.

Neymar ,23, ametengenezewa kiatu ambacho kimepewa nina la 'Ousadia Alegria' maarufu pia kama Hypervenom Phantom II.


Neymar alionekana mwenye furaha wakati akifurahia kuhusiana na kiatu hicho kipya ambacho baadaye kitaanza kuuzwa madukani kawaida.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic