January 26, 2016


Sasa umekuwa mchezo wa kuigiza, taarifa zinaeleza Simba wanajiandaa kwenda nchini Kenya kushiriki michuano maalum.

Simba wamechukua uamuzi huo baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TTF) kuipa ruhusa Azam FC kushiriki michuano maalum nchini Zambia.

Hali hiyo ilisababisha Yanga, kutangaza kwenda kuweka kambi nchini Afrika Kusini.

Yote hiyo inatokana na TFF kuamua kuahirisha kienyeji mechi za Ligi Kuu Bara za Azam FC ili iende katika michuano hiyo maalum.


Simba nao wanatarajia kwenda Kenya au nchi nyingine jirani.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic