January 27, 2016



Licha ya kufungwa bao 1-0 katika mechi ya pili ya Kombe la Capital One, Liverpool imefanikiwa kutinga fainali kwa kuichapa Stoke City kwa mikwaju 6-5 ya penalti.

Kutinga fainali kwa Liverpool, kumeamsha matumaini ya klabu hiyo kongwe angalau kuanza kubeba makombe tena ambayo yanaonekana kukimbia kwenye kabati lake la makombe.

Liverpool (4-2-3-1): Mignolet 6.5, Flanagan 6.5 (Ibe - 105), Toure 5.5 (Allen 85), Sakho 6, Moreno 5.5, Lucas 7, Can 7: Henderson 6 (Benteke 59, 6), Lallana 7, Milner 6, Firmino 6
Subs not used: Ward (GK), Lovren, Ibe, Smith, Teixeira
Manager: Jurgen Klopp 

Stoke City (4-2-3-1): Butland 7, Johnson 7, Muniesa 7, Wollschied 7, Pieters 7, Whelan 8, Affelay 7.5, Walters 8.5, Bojan 7 (Adam 71) (Van Ginkel 98), Arnautovic 8 (Shaqiri 77), Crouch 7.5
Subs not used: Haugaard (GK), Bardsley, Joselu, Wilson
Manager: Mark Hughes
Goal: Arnautovic (45) 
Attendance: 43,091
Referee: Jon Moss

Man-of-the-Match: Walters.












0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic