Leicester City ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu England, walilitembeza kombe lao katika jiji la Bangkok nchini Thailand.
Huko ndipo wanatokea wamiliki wa timu hiyo, familia ya Vichai na Aiyawatt Srivaddhanaprabha ambao pia ni wadhamini.
Jikumbushe kidogo walivyopata mapokezi hayo juzi.
0 COMMENTS:
Post a Comment