NAKUTEMBEZA NDANI YA DUKA JIPYA LA VIFAA VYA AZAM FC... Azam FC wameanzisha duka lao la vifaa vya michezo lililo Kariakoo jijini Dar es Salaam. Muonekano wa ndani na nje na baadhi ya vitu vinavyopatikana uko hivi; acha nikutembeze.
0 COMMENTS:
Post a Comment