Huyo anaitwa Fredy Mbuna na alifanya hivyo baada ya kupewa na nahodha wa sasa wa Yanga Nadir Haroub Canavaro kama ni njia mojawapo ya kukumbuka mchango wa Beki huyo wa kulia wa zamani wa Yanga na Taifa Stars,Hivyo Mafanikio ya Yanga ya Sasa yamechangiwa na wengi wakongwe ikiwemo Fredy Mbuna.
Daaaaahh Pole xn ndugu nahc huwafahamu hao wachezaji vzr kwa maumbo yao,mbali na kuwafahamu hao wachezaji bahati nzuri nilikuwepo uwanjan na baada ya tukio hilo kutokea nilimtafuta Msimamizi wa kituo cha Ruvuma ambaye ni mjumbe wa kamati ya utendaji ya shirikishop la soka nchini Tanzania Tff anayeitwa Jems Mhagama juu ya hilo na alitoa ufafanuzi wake na ufafanuzi wake kwa kifupi ndiyo nimeuandika hapo juu,Ni kweli Taita aliwahi kuchezea Yanga lakn hakuwa nahodha wa Yanga,na hiyo ilikuwa ni kabla ya mchezo kuanza na mara tu baada ya kupita kuingia uwanjan na wao Yanga kupigiwa Makofi.
huo ni utamaduni ambao ulikua haujazoeleka sana huku kwetu hata Chelsea waliwapigia makofi Leicester City ila hii ya kunyakua kombe huenda ni Tanzania tu na ni kuonesha mapenzi ya wazi na jinsi simba na yanga zitakavyotawala sola la nchi hizi kwani timu zenyewe hukumbatia magalasa ya magwiji badala ya kuanzisha chao na hiki ndich kimeipoteza Mbeya City
Huyo anaitwa Fredy Mbuna na alifanya hivyo baada ya kupewa na nahodha wa sasa wa Yanga Nadir Haroub Canavaro kama ni njia mojawapo ya kukumbuka mchango wa Beki huyo wa kulia wa zamani wa Yanga na Taifa Stars,Hivyo Mafanikio ya Yanga ya Sasa yamechangiwa na wengi wakongwe ikiwemo Fredy Mbuna.
ReplyDeleteAtakuwa Godfrey Taita huyu
ReplyDeleteDaaaaahh Pole xn ndugu nahc huwafahamu hao wachezaji vzr kwa maumbo yao,mbali na kuwafahamu hao wachezaji bahati nzuri nilikuwepo uwanjan na baada ya tukio hilo kutokea nilimtafuta Msimamizi wa kituo cha Ruvuma ambaye ni mjumbe wa kamati ya utendaji ya shirikishop la soka nchini Tanzania Tff anayeitwa Jems Mhagama juu ya hilo na alitoa ufafanuzi wake na ufafanuzi wake kwa kifupi ndiyo nimeuandika hapo juu,Ni kweli Taita aliwahi kuchezea Yanga lakn hakuwa nahodha wa Yanga,na hiyo ilikuwa ni kabla ya mchezo kuanza na mara tu baada ya kupita kuingia uwanjan na wao Yanga kupigiwa Makofi.
ReplyDeleteKwani tulikuwa kwenye ushindani wa utambuzi wa huyo mchezaji???
Deletehuo ni utamaduni ambao ulikua haujazoeleka sana huku kwetu hata Chelsea waliwapigia makofi Leicester City ila hii ya kunyakua kombe huenda ni Tanzania tu na ni kuonesha mapenzi ya wazi na jinsi simba na yanga zitakavyotawala sola la nchi hizi kwani timu zenyewe hukumbatia magalasa ya magwiji badala ya kuanzisha chao na hiki ndich kimeipoteza Mbeya City
ReplyDelete