Joe Hart rasmi amejiunga na Torino ya Italia akitokea Man City ya England.
Hart amelazimika kuondoka baada ya kocha Pep Guardiola kutua Manchester City na kuonyesha hamhitaji. Amejiunga na klabu hiyo ya Italia kwa mkopo ulioelezwa kuwa ni wa muda mrefu.
0 COMMENTS:
Post a Comment