August 31, 2016


Winga wa Chelsea, Juan Cuadrado amerejea katika klabu yake ya zamani ya Juventus.

Cuadrado amejiunga na Juve kwa mkopo akitokea Chelsea na anapishana na boss wake wa zamani Antonie Conte ambaye sasa ni kocha wa Chelsea.


Cuadrado amejiunga na Juve kwa mkopo wa miaka mitatu na klabu hiyo ya Italia imelipa pauni million 4 kwa msimu na kama watamhitaji kabisa, watalazimika kulipa pauni million 8.4.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic