October 27, 2017


Shindano la Vipaji vya Sauti linaendelea jijini Dar es Salaam na washiriki 25 kutoka Mwanza, Zanzibar na Dar es Salaam wanachuana vikali.

Majaji watatu wakiongozwa na JB, na Mrisho Mpoto wamekiri kwamba wana kazi ngumu sana.

Tayari kila mshiriki ameonyesha kipaji chake na sasa wanasubiriwa watakaosonga mbele kwenda hatua ya mwisho ya fainali.


Washindi 10 kati ya 25 watakwenda kuishi China ambako watakuwa wakifanya kazi.









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic