Shindano la Vipaji vya Sauti linaendelea jijini Dar es Salaam na washiriki 25 kutoka Mwanza, Zanzibar na Dar es Salaam wanachuana vikali.
Majaji watatu wakiongozwa na JB, na Mrisho Mpoto wamekiri kwamba wana kazi ngumu sana. Shindano hilo linaendeshwa na kampuni ya kuuza ving'amuzi ya StarTimes (T) Ltd.







0 COMMENTS:
Post a Comment