August 31, 2018


Warembo wa shindano la Miss Tanzania, wametembelea makao makuu ya Global Group na kujionea mambo mbambali ya uzalishaji wa magazeti.

Walimbwende hao walifika katika Ofisi za Global Group ambazo ndani yake kuna Global Publishers, wachapishaji wa magazeti maarufu ya michezo ya Championi na Spoti Xtra.

Pamoja na kujionea uzalishaji wa magazeti pendwa ya Ijumaa, Risasi, Uwazi, Amani na Ijumaa Wikienda, walipata nafasi ya kutembelea studio za Global TV Online.










0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic