BAADA YA YANGA KUPANGIWA MECHI 7 TAIFA, SIMBA WAJA NA TAMKO LAO
Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amesema wao hawataweza kulalamikia mechi 7 za Yanga zijazo kuchezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Ratiba inaonesha kuwa katika mechi 11 zijazo za Yanga, watakuwa wanachezea Uwanja wa Taifa na nne zikiwa za ugenini.
Manara ameibuka na kueleza kuwa endapo ratiba kama hiyo ikija kupangwa upande wao amewataka Yanga kutokuja juu kulalamika kisha kisha kuwasema viongozi wa Shirikisho la Soka nchini (TFF) ni Simba.
Ratiba hii inaonesha Yanga watakuwa na jumla ya mechi 7 nyumbani na 4 ugenini.
Yanga SC vs Stand United
Yanga SC vs Coastal Union
Yanga SC vs Singida United
JKT Tanzania vs Yanga SC
Simba SC vs Yanga SC
Yanga SC vs Mbao FC
Yanga SC vs Alliance FC
KMC FC vs Yanga SC
Yanga SC vs Lipuli FC
Yanga SC vs Ndanda FC
African Lyon vs Yanga SC
Kuwa na kumbukumbu ni jambo jema saana. Aisome ratiba ya mwaka Jana kisha arudie kauli YAKE.
ReplyDeleteHapa ndo huwa napata shida saana na viongozi wetu Wa soka.
Jambo likitokea Jana tu kumbukumbu zinafutika.
Kuwa na kumbukumbu ni jambo jema saana. Aisome ratiba ya mwaka Jana kisha arudie kauli YAKE.
ReplyDeleteHapa ndo huwa napata shida saana na viongozi wetu Wa soka.
Jambo likitokea Jana tu kumbukumbu zinafutika.
Ni kweli miezi miwili tu iliyopita Zahera kalalamika kwa mini Simba anaanza na Mechi tatu mfululizo nyumbanu
DeleteAkili nzito
ReplyDeleteKabla ligi haijaanza ratiba ya awali kabisa kabla haijabadilishwa ZaherA alilalamika eti kwa mini Simba INA Mechi tatu mfululizo nyumbani wakati wao sana moja tu...sasa sana dazani nzima kabisa ya Mechi mfululizo uwanja wa Taifa!
ReplyDeleteNinachoona ni kuwa kwa hizi timu mbili zinazotumia uawanja wa taifa kama uwanja wa nyumbani huwa wanapocheza na timu za mikoani Dar huwa wanakuwa na 80%ya ushindi na hii ni kuokana na miundo mbinu mizuri ya uwanja lakini wanapotoka nje Dar asilimia ya kushinda huwa ni 50% hivyo timu inapokuwa na michezo mingi Dar kwa mzunguko wa kwanza kuna asilimia kubwa ya kushinda na kujikusanyia pointi nyingi
ReplyDeletena hats kuingoza ligi kuliko timu zinaenda nje ya darkulingana miundo mbinu kuto kuwa bira zaidi.Pia huwa awamu ya kwanza ya ligi timu hazikamiani sana kwa kujipa matumaini kuwa mechi bado ni nyingi lakini unapokuja awamu ya pili kuna kukamiana kwani hatua ya ubingwa inaanza kuonekana sasa kwa timu yenye mechi nyingi dar hats kama ilikuwa haongozi inaweza kychukuwa pointi nyingi na akamkuta yule alieongoza kwani yeye atakuwa na mechi nyingi ugenini yenye 50% ya kushinda ukijumlisha na kukamiana.Kinachotokea ni mini? Timu iliyopangwa kuanza mechi nyingi za nyumbanani Dar anaweza kuwaza kuwa timu itakakayokuwa na mechi nyingi kwa round ya pili dar imependelewa na kuandaliwa mazingira ya kuwa bingwa.Sijajua ni vigezo gani Bodies ya ligi imetumia kupanga klabu moja kucheza mechi nyingi nyumbani kwa round moja.Ushauri ni vizuri iangiwe kwa upya hiyo ratiba irudi kama ligi za hapo nyuma ambapo timu ilikuwa ikicheza mechi mbili nyumbani na mbili ugenini.Na nadhanj hapo hakutakuwa na malumbano.
TFF siyo Wajinga na Usimba wao. Raundi ya pili ligi iko tight Simba atakuwa anateleza tu taifa wakati Yanga akihangaika mikoani
ReplyDeleteTFF wanaidai Yanga.Deni litalipwa vipi ikiwa Yanga itacheza mikoani ambapo timu mwenyeji inachukua mapato yote.Tahadhari wasije wakakosa nauli kwani hata Rwanda bila ya TFF wasingekwenda.
ReplyDeleteSi wakalipe na mamilioni ya CAF...hivi wao kuwa na madeni ndiyo wapate upendeleo?Na hiyo Kanji karudi na kanda mbili tu?
Delete