EXCLUSIVE: MAC MUGA AFUNGUKA MAZITO KUHUSIANA NA KIBA
Global TV imefanya mahojiano maalum na 'Mac Muga' ambaye alipata umaarufu mkubwa kupitia wimbo wa msanii Alikiba unaoitwa Mac Muga ambao ulivuma sana miaka ya nyuma na yeye alicheza kama Video King.
Sasa kwa mujibu wake wimbo huo wa Kiba ni wa kweli kabisa na ameutunga kutokana na historia ya maisha yake ambapo alikuwa na kipato kikubwa hapo awali lakini baadaye maisha yake yaliyumba na kujikuta akipoteza dira kabisa na ndipo Kiba akatumia nafasi hiyo kuingia studio na kutengeneza dude.
0 COMMENTS:
Post a Comment