September 3, 2018




Zimebaki siku chache mashabiki wa soka wataanza kumuona uwanjani mshambuliaji Donald Ngoma.


Ngoma raia wa Zimbabwe ataanza kuonekana ana kikosi cha Azam FC baada ya kuanza mazoezi rasmi.


Ngoma ameanza mazoezi ana kikosi cha wakubwa na inaonekana siku chache zijazo kocha wake, Hans van der Pluijm, ataanza kumtumia.

Ngoma amejiunga na Azam FC akitokea Yanga hata hivyo alilazimika kuendelea na matibabu ili kuwa fiti.


Wakati akiwa fiti ndani ya kikosi cha Yanga, Ngoma alikuwa mmoja wa washambulizi tegemeo wa kikosi hicho lakini hatari katika Ligi Kuu Bara.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic