September 3, 2018


Kocha wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike ameendelea kukifua kikosi chaka kujiandaa kuwavaa Waganda Jumamosi.

Taifa Stars ina kibarua kigumu ugenini dhidi ya Waganda watakaoongozwa na Emmanuel Okwi ambaye ni mshambuliaji wa Simba.

Kikosi cha Stars kilijifua kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maandalizi hayo.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic