Kocha ametugharimu bwana, hakuna kocha ambaye amepewa nafasi na uhuru kama huyu. Haya ni matakwa yake binafsi. Na isitoshe mapungufu yalionekana tangu kipindi cha kwanza, na yeye yupo katika benchi pale, lakini alishindwa kurekebisha mapungufu yale. KOCHA NI TATIZO KWA MATOKEO YA JANA.
TUSILAUMU? AMUNIKEEEE MBONA UNATUKOSEA HAKI YETU WATANZANIA.
ReplyDeleteHujamuelewa mkuu labda kapangiwa
DeleteKocha ametugharimu bwana, hakuna kocha ambaye amepewa nafasi na uhuru kama huyu. Haya ni matakwa yake binafsi. Na isitoshe mapungufu yalionekana tangu kipindi cha kwanza, na yeye yupo katika benchi pale, lakini alishindwa kurekebisha mapungufu yale. KOCHA NI TATIZO KWA MATOKEO YA JANA.
Delete