Simba waanze kuwaataarifu Caf Juu ya mchezo mchafu wa timu za Congo hasa Mazembe kuhusu vitendo visivyokuwa vya kiugwana kwa wapinzani wao. Walimfunga 8.0 yule mtunisi kwa kutumia mbinu chafu. Walikuja Dar na visababu tele vya uzushi kuhusu Simba matokeo yake wameondoka wakifurahia draw kama vile wameshinda au wamepata suluhu ya goli moja kwa moja. Wataifunga nane 8.0 Simba kwa mbinu chafu lakiki sio kimpira.

ReplyDelete