April 7, 2019

16 COMMENTS:

  1. Kwa hakika sasa ndo nakumbuka ule usemi "bora kuwa masikini huru kuliko tajiri mtumwa"maana siku tajiri akiamua analotaka hata kama ni la kudhalilisha huna budi bali kukubaliana na matakwa yake.

    ReplyDelete
  2. Manara na simba yako hapa ndio safari na makelele yenu yanaishia hapa rasmikwa mazembe

    ReplyDelete
  3. Ivi mpira mlopoteza mmeupata mmepata wap jeur ya kuongea mikia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    ReplyDelete
  4. Wewe unayechangisha kama vikao vya harusi unao uso wa kukosoa.
    Omba ushinde FA kwani ndio nafasi yako pekee. Ukifungwa tena na Lipuli safari imeiva.
    Hata ukishinda utashirki kwa pesa za kutembeza bakuli?
    Upp uchi chutama.

    ReplyDelete
  5. Kitchen party imekusanya shillingi ngapi?
    Au ni ahadi tu?

    ReplyDelete
  6. Mutaishia tu kuifuatilia yanga,bila faida yeyote huu ni muda wa kufkri namna gani ya kwenda kufuzu kongo unakaa kuijadl harambee manara badllika kuwa na mawazo chanya ndugu yangu kwa maendeleo ya soka la nchi yetu kwa ujumla.

    ReplyDelete
  7. Yanga hii mbinu ya kuchagia timu niwazo la heshima katika club yetu ya yanga.Maana Tajiri mmoja timu yote hoi.ili yanga wameliona hatuwezi kutumia makosa. Yanga oyee

    ReplyDelete
  8. Wewe manara usiongee mwanaume halo ni mmoja tu Mo anayekufanya uongee kama mke wake. Wote mmeolewa ndyo maana mkimuona Mo mnaona raha kama mmeona mume na Rambo ya nyama

    ReplyDelete
  9. Kweli utani ni shida, huyu jamaa badala atuambie safari hii ni kifurushi kipi tunakwenda kupata lubumbashi yeye daily na bakuli la yanga, wao na hali yao cc na vifurushi vyetu

    ReplyDelete
  10. kama unachangisha mpaka kufkia mabilioni tatzo liko wapi kikubwa timu Isonge wanachama wajbu wao kuchangia hata ulaya ndo wanafanya hvo ili tmu ijiendeshe yenyewe.

    ReplyDelete
  11. Ninyi mnaotaja MO hebu kumbukeni mpira wa sasa kwa kuchangisha tunadanganyana bila kutengenza mbinu haswaa hata hawa wanaochangia watachoka maana mpira unamatumizi makali sana, na bajeti zake ni kubwa sana ukitaka kuwa mkubwa afrika huwezi kwenda kwa mwendo huu. Ebu tazama vilabu vya afrika tu bila ulaya je ni club gani kubwa chenye mfumo kama wa yanga?. au tunaongea tu kuficha hii aibu?. mnaishangilia mazembe ina KATUMBI ukiangalia AS VITA inammiliki, wadad casablanca ina mmiliki sasa nashangaa upande wetu wa pili tuanzodoa, angalia vbilabu vingi vya ulaya club gani haina mmiliki? ebu tuige mazuri nas dhambi kuiga, kama tutaendelea kwa michango hii basi ipo siku tutachoka tu

    ReplyDelete
  12. Ulaya kuna club kama Real Madrid na Barcelona ambazo hazimilikiwi na kampuni/mtu yoyote isipokuwa ni za wanachama kama Yanga na team zingienzo hapa bongo. Wenzetu ambacho wanafanya ni kuchagua watu (rais wa club) wenye weledi wa kuziongoza.

    Kazi ya viongozi hawa ni kutafuta wadhamini kwa ajili ya club, ndo maana kila baada ya miaka 4 zinafanya uchaguzi wa rais wa club.

    System za huku kwetu ndo bado wadhamini hawajapatikana kulingana na namna mpira unavyoendeshwa yaani kama vile akiwekeza ni kupata hasara.

    ReplyDelete
  13. Hata Bayern Munich ni team ya wanachama

    ReplyDelete
  14. Mfano Simba rais wa club ambaye ndo mtendaji sio mmiliki wa club. Yaani rais anachaguliwa na wanachama wakati mmiliki wa club kama inavyosemwa ni mwingine. Sasa kiuhalisia kama hakutakuwa na sauti ya pamoja ina maana rais atasema hivi wakati Mo atasema yake.

    Mo anajitolea tu kuisaidia team lkn yeye hana nguvu na hiyo team kwa sababu kimaamuzi asilimia 51 za wananchama zina nguvu kuliko 49 za kwake.

    Kwa mfano team ikija ikianza kujiendesha kibiashara, mapato yanayopatikana inatakiwa wanachama wapewe faida ya 51% na yeye achukue 49%.

    Kwa nn anayetajwa mmiliki wa club anayelipa mishahara na kununua wachezaji na huduma zingine zote apate kidogo wakati ambao hawachangii hata shilingi moja wapate nyingi?

    Je kama team itakuwa haijiendeshi kibiashara hiyo hela ya kuendesha club watachangia na hao wanachama??

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic