LEO Beach Soccer League 2019 inaendelea ambapo timu sita zitashuka Uwanja maalumu uliopo Karume kumenyana kama ifuatavyo:-
Buza FC itamenyana na Vingunguti Kwanza majira ya saa 8:30 asubuhi.
Tanzania Prisons dhidi ya Mburahati FC majira ya saa 09:30 asubuhi.
Friends of Mkwajuni dhidi ya Ilala FC majira ya 10:30 asubuhi.
Hakuna kiingilio, mashabiki wote mnaombwa kutia timu na mratibu wa mashindano ya Beach Soccer Kassan Jonathan.
0 COMMENTS:
Post a Comment