August 12, 2020

8 COMMENTS:

  1. Nilikuwa natafuta kujua alikuwa anacheza timu gani, nikakuta ni CD Tenerife B (sio CD Tenerife) ambayo ipo Segunda Division B, ambayo ni daraja la tatu kutoka La Liga. Waandishi msisahau kuiweka hiyo 'B' maana msipoweka inakuwa ni daraja moja zaidi ya alilocheza Faridi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Daah!!,kweli nimeamini kuwa kumjua mtu mfinyu wa mawazo sio kazi......utamjua tu kwa hoja zake zinazokosa mashiko.

      Delete
  2. Unachopaswa kujua ni anatoka club gani, mengine tuachie Yanga. Au siku hizi mashabiki wa simba mmeanza kuwa na uzalendo na yanga? Machozi ya mamba hayoooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Watu wa Simba wanamatatizo sana. Hakuna usajili ambao umefanyika Yanga wasiukosoe

      Delete
    2. ila nyinyi usajili wa simba huwa mnausifiaga, yani nyie mambo ya simba muongee alafu mambo yenu mnataka washabiki wa simba wakae kimya

      Delete
  3. Mchezaj uyo Yuko vizur Sana mtoto wa mwenzio akifany vizur msifie

    ReplyDelete
  4. Anatoka Ulaya anakuja bongo?hakuna kitu japo.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic