Aliyekuwa beki wa kushoto wa Mbao, Emmanuel Charles, amefuzu vipimo vya afya, tayari kujiunga na Azam FC kwa ajili ya msimu ujao.
Habari zinaeleza kuwa beki huyo ameandaliwa mkataba wa miaka miwili ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Aristica Cioaba.
0 COMMENTS:
Post a Comment