July 28, 2021


 ALIYEKUWA Ofisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara ameandika haya muda mchache baada ya Simba kutoa barua kuwa wameachana nae rasmi kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram aliandika namna hii:

"Kila tunapomaliza mechi yoyote ile ya Simba, neno langu la kwanza baada ya matokeo yoyote yale ni Alhamdulillah.

 

"Kwa wanaofuatilia page hii wanatambua hilo. Kwangu neno hili ndio msamiati ninauotumia mara nyingi zaidi na hufanya hivi kwa kila jambo, liwe jema au baya. Yes neno langu ni moja tu.

AL-HAMDULILLAH

10 COMMENTS:

  1. Kila la kheri huko uendako, tulikupenda lakini gsm na utopolo walikupenda zaidi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Manara pole kwa yaliyotokea. tulikuambia ile timu ni ya Familia hukutuelewa sana. ona sasa umegombana na mtoto wa Boss. familia imekupa za uso

      Delete
    2. Ukiona mtu anakwenda kumtukana bosi wake wa kazi basi ujue mtu huyo alishapanga kuacha kazi. Sasa inawashangaza kuona watu wakielekeza maneno ya shombo kwa uongozi wa simba kwa kosa lake mwenyewe Manara. Simba walichokifanya ni sahihi Tena wamechelewa kuchukua Maamuzi. Manara kujiapiza kumuondoa Barbara kwenye nafasi yake kwa nguvu. maana ake Manara alidhamiria kutaka kuizoifisha Simba. Sasa Kama Kuna mwanasimba anamfagilia mtu anaedhamiria kuizofisha Simba basi usimba wake una mashaka.

      Delete
  2. Replies
    1. Acha matusi ongelea habari za mpira ndugu yangu

      Delete
  3. Simba nidhamu kwanza mengine baadae

    ReplyDelete
  4. Sisi simba wote ambao hua tunaenda uwanjani na tuliokuwepo kwa mkapa dhidi ya nkana,As.Vita Do -Die manara alituaminisha game tutaua pamoja na timu kufungwa 5x2,tukafurika kwa mkapa tukajaaa kuisuport team tukatimiza ndoto !hakua huyu mpumbavu Barbara aliyefanya hivyo tusubiri msimu wa mabingwa kama tukifungwa Mara mbili kama 2018/2019 halafu tuende uwanjani au vibanda umiza kuisupoti team kama hamtamtukuna Hugo Barbara wenu wanafiki wakubwa nyie

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic