July 15, 2021

9 COMMENTS:

  1. Wanawapoteza wasikumbuke ahadi walitoa viongozi ya kuchukua ubingwa ligi kuu... Timu yenye mashabiki limbukeni duniani yanga

    ReplyDelete
    Replies
    1. Binadamu mwenye kinyongo huwa hajifichi,lolote jema la mwenzake kwake huwa ni kero.

      Delete
  2. Bumbuli ana jambo letu, tusubiri

    ReplyDelete
  3. Myama anathamini na kusherehekeakombela ubingwa na wala sio basi ambacho ni kitu timu karibu zote zinamiliki mabasi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yani wivu kwa sababu bas lina choo ndani au? Ubingwa ndo mpango mzima acha kujisahaulisha

      Delete
  4. Ubingwa mechi 10 mkononi tena unbeaten, hata hvyo ligi haijaisha kwenye soka lolote laweza kutokea Utopolo msikate tamaa

    ReplyDelete
  5. Utopolo wanawajulia Sana watu wao Yani hapo washawasahaulisha kuhusu ubingwa

    ReplyDelete
  6. Ndugu Mwandishi sijui utaweka wapi sura yako,siku ya kuliona ukikuta ni kama EICHER au TATA la mbagala.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic