July 15, 2021


SIMULIZI ya mfanyabiashara aliyepata zali la kutusua. 

NI makadirio ya mtu yeyote yule anayejihusisha katika shughuli za kibiashara kuweza kupata faida yote haya ilikuwa ni ndoto kwangu kwani biashara nilizokuwa najaribu kufanya ilikuwa naambulia patupu na kutonipa kipato chochote kile.

Tangu utotoni mwangu nilitaka kuwa mfanyabiashara mkuu anayeheshimika  nchini Kenya, nilikua na ndoto hizo mara kwa mara kuwa nimekuja kuwa mfanyabiashara mwenye heshima tele,bali yote haya ilikuwa ni ndoto tu sikuwahi jua wakati mmoja ndoto hii ingekuja kutimia.


 Kwa kuwa nilikuwa mwenye familia isiyo na hela wala mali nyingi, nilipomaliza chuo kikuu, niliaamua kujitosa katika biashara, hivyo basi niliweza kuzungumza na wazazi wangu na kuwaomba waweze kunipa usaidizi wa fedha kwa kuwa hela nilizokuwa nazo kwenye akiba yangu hazikuwa zinatosha hata kidogo.


Wazazi wangu walikuwa na ugumu kidogo kuzitoa hela hizo lakini walikuja wakazitoa baadaye hivyo nikaanza biashara za kuuza nguo katikati mwa jiji la Nairobi.

Nilikuwa na matumaini mengi ya biashara hiyo kuweza kunawiri na kukua miongoni mwa biashara zinazohitajika jijini Nairobi, nilipofungua biashara hiyo kulikuwa na biashara nyingine na iliwalazimu wauzaji kuweza kuagiza nguo mara kwa mara kuweza kumudu mahitaji ya wanunuzi waliofurika eneo hilo mara kwa mara kutaka kununua nguo, jambo hilo lilinipa motisha kuweza kujiingiza katika biashara hiyo kwa kuwa nilikua na matumaini kuwa biashara yangu ingenawiri.


 Hivyo nilijitosa katika biashara, kwa mara ya kwanza nilianza na mavazi ya takribani ya shilingi elfu ishirini, biashara hiyo haikunawiri nilivyotarajia, kwani miezi sita baada ya kuifungua biashara hiyo, mavazi niliyokuwa nimeanza biashara nayo bado nilibaki nayo hivyo nikashidwa cha kufanya.

 Wafanyabiashara waliokua kando yangu walikuwa wanafanya mauzo yao vyema kwani walikua wanauza agizo lao la nguo kwa wiki moja na kuweza kuagiza nyingine, wengi wao walinicheka na kuniarifu kuwa sikuwa na ufahamu wa kufanya biashara na ingekuwa vyema ikiwa ningeanza kuifanya biashara nyingine ama nirudi shuleni nikasomee biashara na kuweza kufikia kiwango chao.

Maji yalizidi unga nilipokosa pesa ya kulipa chumba nilichokuwa nimekodisha kufanyia biashara hiyo hivyo nikafurumushwa katika eneo hilo, nilikosa tumaini la kujihusisha kwa biashara tena na kurejea mtaani nisijue cha kujishughulisha nacho.

Siku moja nilikutana na tangazo la kibiashara kuhusu kiwanga doctors na bila ya kusita niliamua kutafata usaidizi kutoka kwao, niliweza kuwasiliana nao na siku iliyofuatia niliweza kupatana na daktari huyo na kumweleza masaibu yangu katika biashara, aliniahidi angeyashughulikia hayo yote kwa muda mchache na nisije nikawa na tashwishi.

 Aliniwekea heri njema ya biashara na kuniagiza nifungue biashara hiyo tena, niliweza kufanya hivo na kuifungua biashara nyingine iliyonawiri kwa muda mchache, kwa sasa nilifungua biashara sawia maeneo mengi Nairobi kwa sasa namiliki takriban biashara mia moja inayofanya vyema, nawapa kongole “Kiwanga doctors”.

Pia wanatibu magonjwa kama kifafa, kifua kikuu  na magonjwa mengine sugu, kwa upande mwingine wanatatua matatizo ya ndoa na mapenzi na mengine watembelee leo uweze kupata usaidizi wa chochote kile kinachokusumbua.Kwa mengi tembelea wavuti www.kiwangadoctors.com ama waweza kutumia barua pepe kwa kiwangadoctors@gmail.com pia waweza kumpigia simu kwa nambari nambari+254 769404965.

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic