ALIYEKUWA akidai kuwa ni baba mzazi wa mchezaji wa Simba, Meddie Kagere, ametangulia mbele za haki. Baba huyo alikuwa anadai kwamba Kagere ni mwanaye lakini hakupata bahati ya kuonana naye.
Kwa mujibu wa meneja wake amesema kuwa alikuja Bongo akitokea Bukoba kwa lengo la kuonana na Kagere.
Hivi kichwa habari kazi yake ni ipi hasa?? Msaada tafadhali
ReplyDelete