August 6, 2021


WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania,  (TFF) leo Agosti 6 walipata nafasi ya kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Michezo Jijini Tanga. 

Eneo ambalo litakua na viwanja mbalimbali vya michezo, hosteli, ofisi, hoteli ya nyota tatu na maduka ya biashara.


Mradi huo wa kituo cha Michezo upo Mnyanjani, Tanga kinajengwa na TFF sambamba na kile cha Kigamboni.



1 COMMENTS:

  1. Halafu anatokea utopolo anasema TFF ni Simba a 😅😅😅😅

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic