April 24, 2014


KARUME AKIWASALIMIA VIJANA WA KINONDONI..
Rais mstaafu za Zanzibar, Abeid Aman Karume leo jioni alikuwa mgeni rasmi aliyezindua fainali ya Kombe la Muungano.


Mechi hiyo iliyowakutanisha vijana kutoka Wilaya ya Kinondoni na Temeke, ilikuwa nzuri na ya kuvutia.

Mechi ilichezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Temeke waliibuka na ushindi na kabla ya hapo, rais huyo mstaafu alipiga picha na vijana hao.
AKIWASALIMU VIJANA WA TEMEKE

AKIWA NA KIKOSI CHA TEMEKE

AKIWA NA KIKOSI CHA KINONDONI

KIDOGO AKIONYESHA UJUZI

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic