April 24, 2014


  
Timu ya taifa ya Burundi imetua salama jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mechi yao ya keshokutwa dhidi ya Taifa Stars.
Mechi hiyo ya kirafiki pia kusherekea sikukuu ya Muungano itapigwa Jumamosi ambayo ndiyo siku yenyewe ya kusherekea.


Ngoma hiyo itapigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na Warundi hao wataungozwa na mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe.
Tambwe ndiye mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu huu ingawa timu yake haikufanya vizuri baada ya kuishia katika nafasi ya nane.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic