Beki
kisiki Javier Mascherano ameongeza mkataba wake wa kuichezea Barcelona.
Mascherano
raia wa Argentina, sasa ataichezea Barcelona hadi mwaka 2018 na amesema ni
furaha kubwa kwake.
Mkataba
huo umesainiwa leo na kila upande umeonyesha kuwa na furaha kuhusiana na
mkataba huo mpya.
0 COMMENTS:
Post a Comment