TAKWIMU ZA WACHAMBUZI MBALIMBALI WA SOKA NCHINI ENGLAND ZINAONYESHA MANCHESTER CITY INA NAFASI YA KUSHINDA MECHI YA KESHO YA LIGI KUU DHIDI YA WAPINZANI WAKE WAKUBWA MANCHESTER UNITED. HATA HIVYO WAPINZANI HAO WANA NAFASI YA KUSHINDA MECHI HIYO KATIKA DAKIKA 90 KWA KUWA KILA MCHEZO MPYA, UNA MATOKEO MAPYA.
0 COMMENTS:
Post a Comment