November 28, 2014

 River Plate imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mechi dhidi ya watani wake wa jadi Boca Juniors.
Mechi hiyo ambayo pia hujulikana kama El Clasico kama ile inayowakutanisha wapinzani wakubwa nchini Hispania, Real Madrid dhidi ya Barcelona, ilikuwa ni noma.

Ilikuwa ni mechi ya nusu fainali Kombe la Sudamericana na kama ilivyo ada, ilihudhuriwa na mashabiki kibao wenye mashamsham.

Boca Juniors ilipoteza mkwaju wa penalti ilioupata, sasa River Plate imetinga fainali kwa bao hilo pekee la Leonardo Pisculichi, sasa itacheza fainali dhidi ya Atletico Nacional.













0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic